Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Naziona Baraka - Mathias Walichupa

...

aaaaaah eeeehiiiiieeeh

Nimehesabu ni mwanzo wa safari yangu naona bado naendeleaa,

Siwezi hesabu vikwazo vya safari yangu,

hata kama mwendo nachechemea,aliyeinzisha safari yangu mimi,

ndiye atakaye imaliza hata kama ni madhaifu na mapungufu wayaonayo wanadamu ndiye atakaye yalekebisha,

ninayo imani kwake yesu,alikonitoa ni mbali siwezi kuelezea,,,ooooh

hata kama mafanikio ni bado nazo shida ni ndogo nitasubiri,ieeeh,,kwa sababu

Ninaziona Nazionaa Naziona baraka zangu

baraka zisizo na kikomo ninaziona ninaziona Baraka zangu

Naona kufanywa upya Maishani mwangu ninaziona baraka zangu iiieeeehh naziona naziona Ninaziona baraka zangu iiiieeeiiieeeh iiieh

verse 2:

leo yangu ni silaha ya kuifikia kesho nitulie tu uweponi mwako,nimeijenga imani ndani ya moyo siogopi wasemayo ,,,nina imani na yesu

mimi baraka za rohoni ma baraka za mwilini naziona naziona ,,sizizo na kikomo (naziona) zilizojawa na upako(naziona) ninaziona (naziona naziona) hata kam mafanikio ni bado nazo shida kidogo nitasubiri iiieeeiiieeeh,,

kwa sababu Ninaziona naziona ooooh naziona baraka zangu ninaziona naziona baraka zangu ninaziona naziona baraka zangu,,, mafanikio yangu nayaona ninaziona naziona baraka zangu

baraka za rohoni,naziona baraka za mwili,ooooh Naziona ninaziona naziona baraka sizizo na kikomo ninaziona ieeeeh iiiieeeh

..............leo ninazionaaa naziona ooooh ninaziona naziona baraka zangu ninaziona nazionaooooh naziona baraka zangu,,bwana anaenda kutengeneza wosia wangu naziona oooh naziona baraka zangu ninazionaa naziona ninaziona naziona aaaaaah aaaaah iiieee aaaaah iiiie aaaaah baraka zanguu iiiieee aaaaah iiiieeiii

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status