Visa (Visanga) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Visa (Visanga) - Bahati
...
Ni saa moja,Giza yabisha
hata bila kujulishwa,kila mtu nyumbani
Ni saa moja,Giza yabisha
chunguza mwenzioo,machoo katili
ooh Visa vyaanza,kila mtu yuu kimya
twangoja vidokezi ooh,huzuni yajaa hewani*2
hakunaa furaha watu wajishika tamaa,twalia kwa ndani,huzuni/machozi moyoni*2
Ni visaa oooh,zatuvunja moyo
ukifungua macho hautamani uyaonacho...baba twajiweka mikononi mwako juu machozi yetu yamekuwa chakula chetu