Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2017

Lyrics

Maria - Bahati

...

heee! ni bahati bahati tena ee aii.

teddy B


[hook]

pa paraparira ilikua ndo mchezo baada Ya kanisa sunday

pa paraparira tulisali pamoja baada ya shuleni monday *2


nakumbuka ulipenda chakacha na mi nlipenda bongo

ulimskiza farida na mimi rose muhando*2

Ndoto yako ikawa

kwenda ng'ambo mmmh

nami yangu ikawa kwenye gospel*2


{chorus}

mariaaa leoooo umebadilika

jana sio kama leeeoo [umebadilika]

maria leo [umebadilika ]

jana sio kama leo [umebadilika]

maria aaah


[hook]



kutoka kenya dar es salama nmekusaka saka sana

kwetu pwani hadi kampala

uganda kaingia

kutoka kenya dar es salama nimekusaka tanzania

kwetu pwani hadi kampala

uganda kaingia

bila budi unatesa na urembo

meingilia sigara na tembo

bila budi unatesa na urembo

mesahau tukiishi malebo


{chorus}


mariaaaa

uuuu nanananaa


uuuku kanisani

uuu ae na nyumbani

kumbuka mama githeri

yu-ule jirani wanaulizia


{chorus}


kumbuka ndoto zetu we

tukiwa mathare

tukiwa ghetto aaa aee isilando

nananananananana aeee


aah rudi nyumbani

aa kwa yesu nyumbani eee

rudi nyumbani

kwa yesu nyumbani eee

lalalllalalalala eeee

More Lyrics from Bahati Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status