Lover Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Lover - Bahati
...
oooh! Bahati tena, tena ttena eh.
kama ni mapenzi nilishatafuta sana.
kama ni kutoswa nilishatosa kwa bwana
kama ni mapenzi nilishatafuta sana, kama ni kutoswa nilishatoswa kwa bana
omumwanuonje, somge wachinimba.
Ungekua nyimbo ningekucheza sana
ungekua zeze ningekucheza banaUngekua nyimbo ningekucheza sana
ungekua zeze ningekucheza bana,sana bana sanaaa..
You are my lover ieeh lover ieeh ieeh ieeh,
you are my lover ieeh lover ieeh ieeh ieeh
I love you.
Umekua baba kwangu i love thee
Roho mtakatifu i love thee
Na utanashati ukanipa kimwana nayo mashahiri ndani yangu kajaza
Ungekua nyimbo ningekucheza sana
ungekua zeze ningekucheza banaUngekua nyimbo ningekucheza sana
ungekua zeze ningekucheza bana,sana bana
You are my love ieh lover ieh ieh ieh
you are my lover ieh ieh ieh.
i love thee.
umekua baba kwangu, i love thee
roho mtakatifu i love thee
eh pokea sifa moyoni umefanya maulana si kawaida kenya wakanidata
pokea sifa moyoni umefanya najua africa ndio kwa mama akasikika
Ungekua nyimbo ningekucheza sana
ungekua zeze ningekucheza bana
Ungekua nyimbo ningekucheza sana
ungekua zeze ningekucheza sana,bana sanaa
you are my lover ieh lover ieh ieh ieh
you are my lover ieh lover ieh ieh ieh
umekua baba kwangu i love thee
roho mtakatifu i love thee
nanana eeh mmh mmh nanana
i love theee..