Barua Kwa Mama ft. Eddy Kenzo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Barua Kwa Mama ft. Eddy Kenzo - Bahati
...
ukipewa nafsi uwe mzima singetaka uende
ndoto zangu mingi zilizimwa tangu uondoke
ulitaka sanaa niende shule nikaokoe kijiji mama
nikirudi home nisiwe yule ungangarikakari mama.
kwani hivi pesa nirudi navyo, kulekule, kumbuka maneno mazito yako vilevile
Barua kwa mama ifikie mama
hii barua kwa mama ntakukumbuka sana
barua kwa mama ifikie mama
hii barua kwa mama nitakukumbuka sana.
Mama mama amuka mutio
as u know mama how we came from far away, ... ....
how we kept on dreaming and we will never give up. I told u mama, I'll make u proud of me, as u know me mama, ive always worked so hard.
Barua kwa mama, ifikie mama. hii barua kwa mama ntakukumbuka sana.
Ulinifunza nikikosa nyama, nikule mboga, ulinifunza ddunia ngumu mwana kazana sana.
Mama u taught me my dream is to buy you a plane, ooh my mama , my sweet love my heart mama.
Barua kwa mama ifikie mama, hii barua Kwa Mama ntakukumbuka sana.
Don't worry my mama everything is ok, never worry my mama your baby is on the way coming.
Barua.. .barua kwa mama.. .eeh kwa mama
barua ,,, barua kwa mama
.. .. .... .