samaki samaki Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Simu inaita nani anapiga
Napokea namueka loud speaker
Kuna sauti naskia
Kusema nasita salamu ananipa
Ni sauti ya mwanangu charisma
Kwambali namskia ananambia
Ukwapi Je unanafasi
Nipo na washkaji jumuika nasi (wapi)
Masaki samaki samaki
Nyingi burudani unachelewa wahi
Wee wahi wewe
Kuna nini kunavyombo
Kuna pisi Nizamoto
Kumewaka so kitoto
Bro unachelewa ee
Kuna nini, kunavyombo
Kuna pisi, Ni zamoto
Kumewaka, sio kitoto
Bro unachelewa ee
Pamba gani nitavaa bado sijaelewa
Nikicheki nayo dow kama imepelea
Ila fresh usiwe na shida
Muda bado kwanza saa sita
Hizo henny nani kaagiza
Naona watoto wanapigia picha wakavimbe insta
Ukwapi Je unanafasi
Nipo na washkaji jumuika nasi (wapi)
Masaki samaki samaki
Nyingi burudani unachelewa wahi
Wee wahi wewe
Kuna nini kunavyombo
Kuna pisi Nizamoto
Kumewaka so kitoto
Bro unachelewa ee
Kuna nini, kunavyombo
Kuna pisi, Nizamoto
Kumewaka, sio kitoto
Bro unachelewa ee