Wikendi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Wangu hubani we mwandani
Nikiwa nawe mpenzi huwa shwari
Vipi hali uko wapi
Nina habari mpenzi utafurahi
Nimepata dow twende tukaspendi
Najua umemissi bata kuruka wikendi
Miuno yako mepesi ka feni
Sichoki ya kwako ladha tofauti na wengi
Unanijua babygirl
Nikiwa nawe najidai dai
Tena nafurahi rahi
Nikiwa nawe najidai dai
Tena nafurahi rahi
Nikiwa nawe najidai dai
Tena nafurahi rahi
Nikiwa nawe najidai dai
Tena nafurahi rahi
Nikiwa nawe mi ndo champion
Najiamini ulingoni kama mwakinyo
Una sura una shepu hilo kalio
We mtoto utamaliza langu salio
Nimepata dow twende tukaspendi
Najua umemissi bata kuruka wikendi
Miuno yako mepesi ka feni
Sichoki yakwako ladha tofauti na wengi
Nikiwa nawe najidaidai
Tena nafurahi rahi
Nikiwa nawe najidai dai
Tena nafurahi rahi
Nikiwa nawe najidai dai
Tena nafurahi rahi
Nikiwa nawe najidai dai
Tena nafurahi rahi
Shau aleuwa shanjae
Aleuwa shanjau aleuwa shanjae
Shau aleuwa shanjae
Aleuwa shanjau aleuwa shanjae