Aftatu ft. Fido Lyrics
- Genre:Traditional
- Year of Release:2022
Lyrics
Aftatu ft. Fido - Dogo Elisha
...
Labda nikupe afutatu
Kwa cheko midundo(labda nikupe aftatu)
Eyoo eyoo kenny eyoo kenny
CHORUS
We dada umenifananisha mbona mi so majaliwa mi sina uwezo wa dola(labda nikupe aftatu)
Mtoto kweli umeshona shape majaliwa ila geto ukisaula(labda nikupe aftatu)
Mbuzi kagomaa kifo cha mende we jimalizee(labda nikupe aftatu)
We request uber ama bodaboda usiniulizee(labda nikupe aftatu)
We jana ulinipa penzi na kondomu(labda nikupe aftatu)
We lakini sikukupakia mkongo(labda nikupe aftatu)
We jana ulinoga ka umetiwa ndimu(labda nikupe aftatu)
Ila milio yako ya uongo
Wamenifosi nifanyeeee wagwaaaaaaaaa anha oky
Unavopenda kujipulizia mapafyumu chumbani unaacha lawama
Lovebite kunichumchum shingoni unaacha alama
Tusiwapage faida watu geto pita na viatu
Geti vuta taratibu lisikuchune maana lina kutu
Oooh jamani tabu fatu leo nakupa vitatu
Twende mbele na kurudi nyuma ila nakulipa aftatu
Aftatu tu inakutosha mamaaaa
CHORUS
We dada umenifananisha mbona mi so majaliwa mi sina uwezo wa dola(labda nikupe aftatu)
Mtoto kweli umeshona shape majaliwa ila geto ukisaula(labda nikupe aftatu)
Mbuzi kagomaa kifo cha mende we jimalizee(labda nikupe aftatu)
We request uber ama bodaboda usiniulize(labda nikupe aftatu)
We jana ulinipa penzi na kondomu(labda nikupe aftatu)
We lakini sikukupakia mkongo(labda nikupe aftatu)
Eta olaaa aaa mdogo elisha hapa
Mkonanagi wami brother fido we nakusalimia pacheko midundoooo
Asambeee mpelaaa
Oya kama mi ndumu naivutaga mi mwenyewe(we kwani ulikuwa hujui)
Pombe nakunywa nilewe(Ndo unajua leo)
Kwenye ushindi natetema ka mayele(we kwani ulikuwa hujui)
Kamata wika ngedere(ndo unajua leo)
Zile nini na nini mimi ni nani wanajua nyumbani(we kwani ulikuwa hujui)
Ona fido mimi mwenyewe naweza struggle ila sio kushindana na wewe(ndo unajua leo)
Anhaa anhaaa anhaaa
boss max manager kapaya eee anakusalimia marikiriusi eee mitoto ya mbangala mitoto ya kinindoni watoto wa ilala mpaka temeke mitoto ya kigamboni nawasalimia wanangu wa zeyunic sound record mitoto ya future records eee
Twende na kenny touch tuoneee
Ndo unajua leoooo
Ndo unajua leoooo...........
By kelvin msuya@
0718881051