Fresh Lyrics
- Genre:Traditional
- Year of Release:2022
Lyrics
Fresh - Dogo Elisha
...
Oh daga daga daga digida Freesh!! Hili goma lifungwe counter lifungwe bar Freesh!! Sisi wenzenu hatulali jamaa Freesh!! Na wakifunga basi si tunahama Freesh!! Hapa ni wapi tumezungukwa na shisha na shishaman mapochopocho na vinywaji mbalimbali wengine wanatapika wakizilai... Hapa ni wapi wanazinyonga kush na sigara kali tumezungukwa na warembo geti kali tumeweukwa tushakata pombe kali... Aya sasa kidole mama.... Kidole mama Na kuch kidole mama.... kidole Kidole mama Dapipo kidole mama....kidole Kidole mama Dogo joti kidole mama....kidole Kidole mama Ooh daga daga daga daga digida Freesh!! Hili goma lifungwe counter lifungwe bar Freesh!! Sisi wenzenu hatulali jamaa Freesh!! Na wakifunga basi si tunahama Freesh!! Hapa ni wapi naona walinzi wagetini wamekuja ndani naona machete yametoka hadharani naona polisi wengi kwani kulikonii... Hapa ni wapi kuna visanga vihoja mahakamani wapenzi wapigana mate hadharani wengine wanamalizana vichakanii... Wee mushizo naondokaje sasa kwanza nawahi nini wakati nimeachwa Tilamento naondokaje sasa kwanza nawahi nini wakati nimeachwa Nipo single naenjoy bwana bora nikate tungi sio mapenzi bwana... Nipo single naenjoy bwana bora nivute shisha sio mapenzi bwana Kidole mama...kidole Kidole mama Man water kidole mama.... kidole Kidole mama Shaali kidole mama....kidole Kidole mama T I kidole mama....kidole Kidole mama Masangula kidole mama....kidole MDOGO ELISHA HAAPA AAAHA Maajabu ajabu hayo kaanzisha millard ayo alisema amekula saa mbona anapiga miyayo Tilo tiloo kama linaanguka Dada anaanguka muone amekalia kuka kalala kwenye mkeka mama kwenye mkeka ona kajilimbwasa wamemtekenya karuka ......... .......... ......... ......... ........... ........... ......... ......... ........ ............ ....... ....... ............. ........ .......... ........... ......... ........... .......... ........