Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Vitu tam navitaka na

(Sijui ni kwanini)

Nani ananifuata na

(Sijui ni kwanini)

Niredwa ni Indo nthaka na

(Sijui ni kwanini)

Wa muthenya ni minyaka na

(Sijui ni kwanini)

Vitu tamu navitaka na

(Sijui ni kwanini)

Nani ananifuata na

(Sijui ni kwanini)

Niredwa ni Indo nthaka na

(Sijui ni kwanini)

Wa muthenya ni minyaka na

(Sijui ni kwanini )


Sijui ni kwanini(aah!)

Kila wakati hata niwe safarini

Orodha ya vitu sweet inanisumbua akilini(atii)

Vitu zote cute ata sijui nile nini

(Wee!) nataka kitu kinaladha ya asali

Kinachangamsha kama msee wa kamali

Kizuri Cha jiuza hapa me sijali(don care)

Nireda indo cie murio gukiruka sukari

Warembo wako sweet wako fine

Wanataka eti niwapee Namba ya mine

Flow wamenoki mpaka wanawine

Wamekuwa addicted na ngoma za mine(aaah!)

Ongeza taste everyday

Omundu winamagego apa vuja mavede

Kunichunguza chunga apa me nina redee

Irio kugia murio cinema kihidi (aiyayaya)

Ongeza taste everyday

Omundu winamagego apa vuja mavedee

Kunichunguza chunga apa me nina redee

Irio kugia murio cinema kihidi


Vitu tam navitaka na

(Sijui ni kwanini)

Nani ananifuata na

(Sijui ni kwanini)

Niredwa ni Indo nthaka na

(Sijui ni kwanini)

Wa muthenya ni minyaka na

(Sijui ni kwanini)

Vitu tamu navitaka na

(Sijui ni kwanini)

Nani ananifuata na

(Sijui ni kwanini)

Niredwa ni Indo nthaka na

(Sijui ni kwanini)

Wa muthenya ni minyaka na

(Sijui ni kwanini)


Kila siku ni mazuri

Niko strong kama simiti bamburi

Utamu ujiumia nimejipanga vizuri

Nataka vitu special ka mgeni Kwa ikuli

Napendwa na walami

Indo nice na murio utafikiri ni Miami

Mistari me natema zinacome ka Tsunami

Naflow juu ya utamu Kama gari juu ya lami

(Vuua!)

Everything sweet leta kwangu

Nazipeda sana ka maisha yangu

Vitu zote sweet na ni strange joh kakangu

Siogopi bana wacha zote zije kwangu(kwangu)

Ongeza taste everyday

Omundu winamagego apa vuja mavedee

Kunichunguza chunga apa me nina redee

Irio kugia murio cinema kihidii

Ongeza taste everyday

Omundu winamagego apa vunja mavedee

Kunichunguza chunga apa me nina redee

Irio kugia murio cinema kihidii


Vitu tam navitaka na

(Sijui ni kwanini)

Nani ananifuata na

(Sijui ni kwanini)

Niredwa ni indo nthaka na

(Sijui ni kwanini)

Wamuthenya ni minyaka na

(Sijui ni kwanini)

Vitu tam navitaka na

(Sijui ni kwanini)

Niredwa ni indo nthaka na

(Sijui ni kwanini)

Wamuthenya ni minyaka na


Vitu tam navitaka na

(Sijui ni kwanini)

Nani ananifuata na

(Sijui ni kwanini)

Niredwa ni indo nthaka na

(Sijui ni kwanini)

Wamuthenya ni minyaka na

(Sijui ni kwanini)


Sijui ni kwanini

Sijui ni kwanini

Sijui ni kwanini

Wamuthenya ni minyaka na

(Sijui ni kwanini)

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status