NIMETOKA E TOWN Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Napeda yangu jina flow
na maarifa
Na nimetoka E-town
(E-town)
Napeda yangu jina flow na maarifa na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Luku me natesa
Rhyme naroganga inabaki wamwage pesa
E-town we higher
Tunasonga tuko higher tukitesa
Tunasonga tuko higher tukitesaa
Madiva wameiva wako zabe
Wanaiva
Maboy toka E-town Kwa
Maluku tunatesa
Kavida nigaka ta Cecily
Muguka nituratua tukendia mpaka Italy
E-town tunavifaru za warasta
Wanapeda vako zangu ka za pastor
Muthenya na utuku
No usingizi ni kutafta
Higher sales ndo uwashike itabidi umenitaftaa
Napeda yangu jina flow
na maarifa
Na nimetoka E-town
(E-town)
Napeda yangu jina flow na maarifa na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Mtaa imepiga shawa
Attraction na view
Imepiga shawa
Natia bidii na energy
Wanabaki wamepagawa
Vibe noma toka E-town
Wanafly bila mabawaa
Nataka kujibamba
Kabla niume pamba
E-town ndo mjini me najua naeza jibamba
Smart boy nikishika mic nipe Saba
Salaam najua zote
Shikamoo?
marahaba
Mistari inauguza bana
Ita daktari
Kwa stage nawabeba kama nduthi ama gari
Ntavuja hadi rekodi nikipata yangu zari
Juu vile me namuok
Me namuok kama nariii
Napeda yangu jina flow na maarifa na nimetoka E-town
(E-town)
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E
(E-town)
Na nime
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)
Na nimetoka E-town
(E-town)