Shenzi ft. MISSISSIPPI, Angie T, MC THURA KE & OsuwoJr Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Shenziiiiiii Shenziiiiiii Shenziii Shenziii
Baby! It's crazy,how you been looking at me,nika mimi si mimi memes ni crazy
Na vile we getting older we aging ei
Tulipatana kwa bash na huyu dem, juu yee ndio alikuwa keki ei
Hobby yake si ni baking ei
Na beshte yake si ni bestie ei
Nikapatana na beshte yake Betty akanikunywa nikableki ei
Akanipea nikapass away, tukiskiza mangoma za Omah Lay
Me ndoo nilikuwa DJ, what a day nikam kuconfess
Alphabetically kwangu wue ni msupa A, wue si msupa S
Wee ndoo ndoo ulifanya hii mtima irace
Umeniweka ndani ya chupa ya glass
Lessons umefanya leso so me silali class
Jaber umebeba siandani ass, shenzi hizo ni fantasy
Me nasaka hizi doh magold hadi S.A tu kwa Nasty C
Yeah, Hennessy zii, yeah, manzi, anastugger ,okay, na Fanta handas hunters zii
Kila siku ni mapenzi shenzi, toka hapa adwaro pesa tesa
Maleso mateso ni kitu kimoja,miaka kadha ya mapenzi shenzi
Huoni kama unabebwa ufala, kila mtu anahoe
Wababa wamama wameaumua hatutalala
Ulipewangwa na Mungu hakusema sasa ugawie kila mtu
Kijana jenga mali acha mapanty, siku moja utakujakulia
Tulia izia ,inauma but haileti magonjwa
Subiri kiburi wao nao wakingoja kaburi, oh my
Nimesema ya kutosha, I hope you took the notes
Took the notes
Wakisema unachoma, I hope you burn them up
Shenzii!Shenzii
Nilikuwa nampenda nampenda nikalose interest
But siku hizi venye amebeba ningain interest
Hatuezi kubang' mimi si hoe,hatuezi kudate me ninadem
Lakini siwezi believe, aki wallahi siwezi believe
Siwezi believe kienyeji jana,amekuwa mali safi leo
Siwezi believe after make up anakuwa safi kama Donna
Enyewe believe akiboo mpe time ataglow akuwe boo
Usikuwe shenzi, hii ni past tense,ukitense itakuwa regrets
Nilimjudge, saa hii nikimcheki alipanda ligi waah
Ningemchat but nilikuwa shenzi nikaditch bitch blocked
Shenziiiii!shenziiiii! Shenziiii! Shenziii