Ssssh!Freestyle(Tumechoka) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Yeah! yeah! Yeah!Etty cheza vitu local, Viu Sasa hawana wako tu Netflix
Uuu, Hata genge walizika, hivi sasa gengetone wanapiga
Wako twitter wanafoka, wivu mbaya KOT hupotoka
2020 ilitutisha 21 kusafisha kuchachisha
Kus kus, Na hii beat sijasample Magix Enga usianze usoro
Kazi safi kitu gani, na chini ya maji hata hamuogi
Oh My,Obare bwana an sawa anego video saa madwaro ga peto
Influencer bila content hawa soshii pia hawananga pesa
Ongeza followers uza account ndoo upate hata za kukunja
Anaflex anadrip na deni ya Fello bado hajalipa
Whaaat? Madigaga na viatu, hata ngotha umeomba ya photo shoot
Na umeshinda ukitwerk, tingiza akili unionyeshe maarifa
Nimesota nikachoka, leta kazi kazi bora inalipa
Na fare situmi, meme siwachi hata kama nimeboss
Kuiva si tako, na urembo si sura binadamu huzeeka
Obima, Ohanga na Omollo collabo nikanye tujipate billboards
Etty!serikali tafadhali afadhali ujivunie utakufa njaa
Oh my! Oh my
Pssssh! aaaah! Nimechokaa
Pssssh! aaaah! Nimesotaaa
Beef bila bill me sidai afadhali basi me nikufe njaa
Oh my! Oh my
Pssssh! aaaah! Nimechokaaa
Pssssh! aaaah! Nimesotaa
Usikuje nikukope doo,me si bank enda Tala uwaruke joo
Oh my! Oh my
Pssssh! aaaah! Tumechokaaa Tumechokaaa
Pssssh! aaaah! Tumechokaaa Tumechokaaa
Usiku sacco tuko locked, kuomoka ndoo siri tumekosa otherwise
Oh my! Oh my
Pssssh! aaaah! Tumechokaaa Tumesotaa
Pssssh! aaaah! Tumesota Tumesotaaa
Wajinga ni nyinyi, wajinga ni sisi tukunje zetu urudi ndani jo
Thanks kwa mafans kila day hata nikiblunder bado mko though
Mahaters pia siku hizi mko lazy ama kazi ni kulala job