Ananipigania ft. K2ga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Ananipigania ft. K2ga - Vanillah
...
Ananipenda toka moyoni mpaka macho yamekua mekundu
Hataki kuhesabu maudhi yangu
Anayapaka ukungu
Yani ananipenda mpka namuona mjingaa
Atanikivuja jasho analeta ndoo analikinga
Yeye anawivu na mimi ataki nioge na sabuni
Anahisi nikioga na sabuni pekeangu ntamsalitii
Ataki nionewe maumivu marufuku kwa mimi
Ata akining'ata kunguni maji ya moto anamchoma
Ye ana
Ananipigania aah
Ananipenda dear aah
Ananipigania aah
Ananipenda dear eh
Mi na yeye wakufaa
Wakufaa kuzikana
Mi na yeye wakufa kuzikana
Wakufa kuzikana
Sio wakufa kufaana
Wakufaa kuzikana
Mi na ye wakufa kuzikana
Wakufa kuzikana
Sio wakufa kufaana
Mi naiona rahaa yakutoishi peke yangu
Siku hizi ata nguo za ndani nafuliwa na mwenzangu
Ukiona nasaka hela husiombe mabaya yaje kwangu
Mi nafamilia inayokula kwa jasho langu
Ata maji majii maji ya kuoga
Baby anayapika sana mpaka naiva
Najionea mapya mapya ah kama miujiza
Huku kupendwa gani kupendwa kupitiliza
Anaenifanya mimi niheme
Ndo aloweka sukari kwenye matunda
Na ndie alofanya mpango moyoni mwangu ye akapata chumba
Na ndo manaa
Ninaa mpigania ooh
Nina mpenda pia aah
Nina mpambania ooh
Nina mpenda pia aah
Mi na yeye wakufaa
Wakufaa kuzikana
Mi na yeye wakufa kuzikana
Wakufa kuzikana
Sio wakufa kufaana
Wakufaa kuzikana
Mi na yee eeeh
Wakufa kuzikana
Sio wakufa kufaana