Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2022

Lyrics

Nilimpenda Sana - Vanillah

...

Nina masikio mbona sisikii upendo

Uwenda ni marudio sio wakwanza mimi

Nilikufanya kimbilio labda tutatimiza malengo

Moyo unanienda mbio ata siaminii

Na nichukulie kideo ntumie whatsapp

Nimuone kama ni yeye

Aloninyima usingizi nisilale

Naona zinanibana mbavu

Nachoka halafu

Kwanini aolewee

Nilimpenda kuzidii ampendae

Emu nichukulie kideo nitumie whatsapp

Nimuone kama yeye

Aloninyima usingizi nisilale

Nanilimpenda sana ona ameniacha naumwa

Nanilimpenda sana mbona amenikana

Nanilimpenda sana mbona ameniacha naumwa

Nanilimpenda sana mbona amenikana

Sio mbaya siumeamua kuchaguaa

Moyo wako kumpa yule

Ila kaa ukitambua kwamba mi bila wewe ni sawa na bure

Au labda kuna kitu kipya ulikipata kutoka kwenye mwili wake yule

Na ukaniona mi mshamba na vyeo vyote ukamvika yeye

Hvi unahisi mi ntaishi maisha gani bila wewe

Kwa yale madikodiko mara unikiss

Kichwani umenijaa tele

Na sio rahisi mi kuishi kwa raha bila wewe

Na usishangae ukisikia mazishi sababu itakua ni wewe

Nanilimpenda sana ona ameniacha naumwa

Nanilimpenda sana mbona amenikana

Nanilimpenda sana mbona ameniacha naumwa

Nanilimpenda sana mbona amenikana

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status