KUACHWA Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Huo huo aaah
Kwani ipi sababu ah Kuhumizwaaaah aaah
Nimekukibali sitoweza lipizaaah aaah oonanah
Nilisha penda nikazama mazima Ah
Pamoja nakumsamini lakini kaamua aende zake
Aende
Uku nyumbani sisaminiki
Bora nisinge kuwa oyaaaahh!
Nimeondelewa thamani Alonipora amenogewa
Wakaraaah aaah!
Wako razi
Wako raaaaaaah!
Wako razi
Hatakuitowa roho yangu
Ningeweza hata kujuwa kama Nafasi nilikuwa
Sina hinge niweka mi huru raha Ningekuwa sioni
Kuachwa
Naumaaaaah
Kuachwa kunauma
Kuachwaaah
Molah nipe ujasiri niishinde
Hii hali
Kuachwa
Oooh naumah
Kuachawa kunauma
Uooh uooh oohooh
Kuachwa
Sio kuzuri
Kunauma aaah
Hata ndugu nilio wategemea
Wako wapi sena pakusemea
Ila ninacho sikia wakiniaambia Kiko wapi mi najinyamanzia
Eh molah nipe ujasiri ni Kishindee hali nilio nayo
Mnaonisema semeni
Shida kila mtu anayo
Na hamuwezi kujuwaah molah Alicho nipangia eh
Riziki anagawa muhumba
Alikuwa sio wangu nimewaachia
Nyie rizikiiiih
Uku nyumbani sisaminiki
Bora nisinge kuwa oyaaaahh
Nimeondelewa thamani alonipora amenogewa
Wakaraaah aaah
Wako razi
Wako raaaaaaah
Wako razi
Hatakuitowa roho yangu
Ningeweza hata kujuwa kama Nafasi nilikuwa
Sina hinge niweka mi huru raah Ningekuwa sioni
Kuachwa
Naumaaaaah
Kuachwa kunauma
Kuachwaaah
Molah nipe ujasiri niishinde
Hii hali
Kuachwa
Oooh naumah
Kuachawa kunauma
Uooh uooh oohooh
Kuachwa!
Sio kuzuri kunauma aaah