Mainda Acoustic Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mainda Acoustic - Lody Music
...
she don't like me,but she like my Money
hata na mi nimeridhika namwaga madola
ili tu anipende anataka iPhone,naona watoto wangu wamepata mama bora
hadi Maya namuhamisha Temeke namleta kinondoni
hapo sasa
bahati mbaya Bongo si hapatufai ai turuke mamtoni
aaah kafupi size,ana vinyamanyama mainda kabobea
anapenda mayonnaise,na vinyamanyama mainda kakolea
yani kukuacha sidhani,Mainda mainda
mainda mainda
maiiinda
mainda mainda
mainda mainda
nataka twende wote chumbani
mainda mainda
mainda mainda
maiiiinda
mainda mainda
mainda mainda
mainda mainda
so potential kwenye kazi yake
akipiga picha mimi mate kutoka
akipita vigeregere hilo shepu lake
kama Tembo vishoka
confidential yani brand yake huko madukani huwezi kuta kakopa
akipiga miselesele na mashaga zake hii manzi ogopa
Hadi Maya namuhamisha Temeke namleta kinondoni
bahati mbaya Bongo si hapatufai si turuke mamtoni
aaah kafupi size,ana vinyamanyama mainda kabobea
anapenda mayonnaise,na vinyamanyama mainda kakolea
yani kukuacha sidhani,Mainda mainda
mainda mainda
maiiinda
mainda mainda
mainda mainda
nataka twende wote chumbani
mainda mainda
mainda mainda
maiiiinda
mainda mainda
mainda mainda
mainda mainda