My Woman Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
My Woman - Ommy Dimpoz
...
Akili ikuwaze moyo ukujaze
hata kwenye magumu ujikazee
tamaa ujikataze sina la kusema mama kwani nishagundua gundua
I don't need nobody but you yeah
ubaya wasambaze lakini ujikaze
we mzuri zaidi yao usiwaze
wasiharibu chance
nikikosa ntaomba msamaha
kwa kuwaumbua umbua
wajue am here for you yeah yeah
wangu wa moyo wa moyo
nakwita kipenda roho roho
na hivi leo uko royal ooohh mama
una heshima huna nyodo yeah
This dedicate to you my woman
(oohh my woman)
this dedicate to you my woman
(oohh my woman)
this dedicate to you my woman
(my African star)
this dedicate to you my woman
(oohh my woman)
ooohh let me be your man kuwa kiwembe am done umeniifadhi kiganjani shida atanitoa nani