Moyo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Moyo - Ommy Dimpoz
...
Lele lelele lololo
Olalala lelele lololo
Sikia sikia aah sikia moyo
Jishike tabia
Tulia tulia wewe tulia moyo
Jichunge tabia
Mi nilidhani kazi kusukuma damu
Sasa naona mauzauza mambo tofauti
Chakwangu kidogo uridhiki nacho
Unapenda vikubwa utaniponza moyo moyo moyo
Vitamu vinono kutolea macho utaniponza moyo we moyo moyo moyo
Wengine umefanya wamepotelea jela
Sababu yako moyo moyo moyo
Na wengine wameshindwa wakasaliti zao ndoa
Sababu yako moyo
Moyo wangu mie (moyo)
Punguza tamaa (moyo)
Jifunde kuvumilia (moyo)
Utaniumizaa
Moyo wangu mie (moyo)
Huna kitu unatamba (moyo)
Jivunze kutulia (moyo)
Wataka nipeleka wapi oooh
Unataka kushindana na dunia
Ooh nadunia
Usifate ya mitandao kila mtu tajiri
Vingine fumbia macho usitazame
Mke wa mtu huyo
Ridhika ukipatacho tamaa zako zitaniponza moyo
Wengine umefanya wamepotelea jela
Sababu yako moyo moyo moyo
Na wengine wameshindwa wakasaliti zao ndoa
Sababu yako moyo
Moyo wangu mie (moyo)
Punguza tamaa (moyo)
Jifunde kuvumilia (moyo)
Utaniumizaa
Moyo wangu mie (moyo)
Huna kitu unatamba (moyo)
Jivunze kutulia (moyo)
Wataka nipeleka wapi oooh