Imani Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
INTRO:
Imani
Imaani-iii
Imani
Imaani-iii
Imani
Imaani-iii
Imani
Imaani-iii
VERSE 1
Maisha ni magumu sana,
Nashindwa hata kula mchana
Lakini nina Imani bwana,
Utafanya wepesi hii iko bayana
Mavazi na malazi sina,
Nabaingaiza tu ujana
Lakini nina Imani bwana,
Utafanya wepesi hii iko bayana
CHORUS
Imani Huja
Kwa Kusikia Neno Lako
Na Mi Nimesha-Lisikiaaa
Twavunja Kuta
Kama Zile Za Yeriko
Furaha Nita-Isikiaaa
BRIDGE
Imani (yeheeh)
Imani-iii
Imani
Imani-iii
VERSE 2
Basi hao walio na Imani,
Pamoja na Abraham
Hubarikiwa sababu wana haki,
Kama Abraham
Mimi nna Imani wewe ndie mwanzo,
Na tena mwisho
Neno latimia maishani mwangu,
Kuishi Kristo-ooo
CHORUS
Imani Huja
Kwa Kusikia Neno Lako
Na Mi Nimesha-Lisikiaaa
Twavunja Kuta
Kama Zile Za Yeriko
Furaha Nita-Isikiaaa
VERSE 3
Nina Imani,
Ya kutenganisha maji
Nina Imani,
Ya kuleta uponyaji
Nina Imani-iii
Ya kutenganisha maji
Nina Imani,
Ya kuleta uponyaji
Itanivusha!
Itanilinda!
Itanivisha, Oh Baba
Itanivusha!
Itanilinda!
Itanivisha!