Daraja Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Daraja - Arrow Bwoy
...
Arrow Bwoy - DARAJA
Masaibu ya mapenzi
Unayependana naye kesho anakuchukia
Yule uliyemuenzi
Anageuka sumu kisha penzi anavunja
Pichaaa...picha
Zote kwa insta anafuta
Twitter....twitter
Hashtag anaeka ya matusi
Pichaaa...picha
Zote kwa ukuta anashusha
Kisha anakupiga block
Daraja....daraja ya mapenzi
Wanaopita ni wengi
Daraja....hii daraja ya mapenzi
Wanaovuka ni wachache
Otile na Vera walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi!
KRG na Nina walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi!
Tanasha na Simba walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi!
Jamaa roho safi na Avrila walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi!
Tua na Lila walijaribu kuvuka
Wakaanguka
Aki mapenzi wewe.....
Aki mapenzi wewe....
Aki mapenzi wewe wewe
Aki mapenzi wewe.....
Aki mapenzi wewe....
Aki mapenzi wewe wewe
Naogopa mapenzi naogopa
Naogopa mapenzi naogopa naogopa
Kitendawili ya mapenzi
Wengi wameshindwa kuitegua
Na mimi na wasiwasi nashindwa kama nitaitegua
Kitendawili ya mapenzi
Wengi wameshindwa kuitegua
Na mimi na wasiwasi nashindwa kama nitaitegua
Gua yeyeeeye
Daraja....daraja ya mapenzi
Wanaopita ni wengi
Daraja....hii daraja ya mapenzi
Wanaovuka ni wachache
Mulamua na Caro walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi!
Sipogoi na Fishy walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi!
Frankie na Korasoi walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi!
Huyo Frankie na Maureen walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi!
Aki mapenzi wewe.....
Aki mapenzi wewe....
Aki mapenzi wewe wewe
Naogopa mapenzi naogopa
Naogopa mapenzi naogopa naogopa