SUBIRA Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Moyo ulisema basi nenda, Nafsi ikakataa
Ukanifanya niwe wa konda kutwa majeraha,
Nikagusanisha hasi na chanya, Nia dhumuni nipate faraja,
Kumbe ulikuja niadhibu kwako nilipotea,
Nahizo mbwembwe za Insta ma, Hadharani wa jigamba
Na kwako nilikua dear customer, Hukuona haya,
Nakupost na ji commentisha, Najisogeza najibebisha,
Kwa weweeee, Yaani kama chawa
Kisirani wa nyumba bado niko nae,
Naukosa unyumba acha nikomae,
Yakipanda maruhani nitakunywa pombe,
Niyasahau niliyo pitia na wewe.
Subira aaah subira (Nita subiria)
Subira aaah subira (Ahhh Ahhh Ah)
Subira aaah subira (Nita subiria)
Subira aaah subira (kwa vile nakupenda bado)
Mola kanipa macho mabaya niyaone, ila sio haya
Yanayo nitoa machozi,
Moyo unahisi mkunyato huruma hunionei we mama mubaya
Usinimwage machozi,
Si wewe uliniita mi kidani changu, Na tena fundi wa raha zangu,
We ndio mlinzi wa moyo wangu, Japo umeniteka,
Haufanani na mabaya, Mi yatanishinda ntaritaya,
Siwezi sema ila acha ni subiri, (Hello ooh oooh oh)
Kisirani wa nyumba bado niko nae,
Naukosa unyumba acha nikomae,
Yakipanda maruhani nitakunywa pombe,
Niyasahau niliyo pitia na wewe.
Subira aaah subira (Nita subiria)
Subira aaah subira (Ahhh Ahhh Ah)
Subira aaah subira (Nita subiria)
Subira aaah subira (kwa vile nakupenda bado)