NI KWELI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
NI KWELI - Ezekiel John
...
Oooh ooooh ooooh
Nguvu zako za onekana wazi
Matendo yako ya onekana wazi
Na ulimwengu waonesha ukuu wako
Maisha yangu ya onyesha ukuu wakooo
Oooh
Huyu ni nani hata mawimbi yanamtiii
Aaah
Huyu ni nani hata mapepo yanatorokaaa
Iyee eeh
Ni kweli huyu ni mwana wa Mungu ni kweliii
Vipofu wana ona
Ni kweli huyu Yesu ni mfalme ni kweliii
Viziwi wanasikia
Ni kweli huyu ni mwana wa Mungu ni kweliii
Na viwete wanatembea
Ni kweli huyu Yesu ni mfalme ni kweliii
Vipofu wana ona
Nikwelii iiiiii Nikweli iiiiii×2
Kweli nime Kweli nimeeeeeh
Kweli nime mmmmh
Kila kitu ndani yangu kimetambua nguvu lizonazo
Nina kuheshimu bwana wangu
Moyo wangu hunyeyekea kwakoo
Ooooh oooh ooooh oooh×2
Huyu ni nani hata mawimbi yana mtii
Huyu ni nani hata mapepo yanatoroka
Ououoh ououh
Ni kweli huyu ni mwana wa Mungu ni kweli
Vipofu wana ona
Ni kweli huyu Yesu ni mfalme ni kweli
Viziwi wanasikia
Ni kweli huyu ni mwana wa Mungu ni kweli
Na viwete wanatembea
Ni kweli huyu Yesu ni mfalme ni kweli
Vipofu wana ona
Ni kweli iii Ni kweli iiii oooh×2
Ni kweliiii Ni kweliiii×2
END
Credit by
Ammy Jay Stylish