Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

RUTUBA ft. GODFREY STEVEN - Ezekiel John

...

We ni udongo wenye rutuba yesu amepanda mbegu ndani yako

Mazao yako yawe yenye baraka baraka

Tena tusichoke kuyatenda mema

Tusipozimia roho

Tutavuna kwa wakati wake asema bwana

Mimi ni maji hayo ya uzima

Wewe ni mbegu nikustawishe

Tii kila nikutumacho mwanangu

Mmh

Mbegu yoyote ile isiyozaa

Itanilazimu mimi kuikata

Basi amka kazi hii hii ya kuhusu wewe

We ni udongo wenye rutuba

Yesu amepanda mbegu ndani yako

Mazao yako yawe yenye baraka baraka

We ni udongo wenye rutuba

Yesu amepanda mbegu ndani yako

Mazao yako yawe yenye baraka baraka

Woooooaaa yeeeeeeaaaa

Udongo wako usikauke

Udongo wako usikauke

Mwaga maji

Mwaga mahi

Omba sana soma neno lake

Ili yasikauke maji

Ili yasikauke maji

Bwana anakupenda wewe

Ndiyo maana akaweka mbegu ndani yako

Ili ukinena neno lake watu wanabarikiwa

Uwe baraka uwe baraka

Uwe baraka uwe baraka

Nakuombea wewe usiwe na mashaka wewee

We ni udongo wenye rutuba

Yesu amepanda mbegu ndani yako

Mazao yako yawe yenye baraka baraka baraka

We ni udongo wenye rutuba

Yesu amepanda mbegu ndani yako

Mazao yako yawe yenye baraka baraka baraka

We ni udongo wenye rutuba

Yesu amepanda mbegu ndani yako

Mazao yako yawe yenye baraka baraka baraka

Fanya kazi yake bila mashaka wewe

Fanya kazi yake eeeeee

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status