Life Na Adabu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Life Na Adabu - King Kaka
...
haujaskia bana?
hauja
haujaskia bana?
hauja
tunakula life na adabuu
lala lala
life na adabuu
tuna kula life na adabuu
lala lala
life na adabuu
tuna kula kula kula kula kula
ngware ngware sana after prayers,
si me nabrush,
nijibu messages kwa JG my crush,
jidimaaa
nikikutana naye,
anajua ni thitimaaa!
dreams are valid,
na yangu ni ndoto
eventhough leo,
king kaka ako msoto
nashukuru jaa,
kwa vile niko alive
vile siku inaka,
wacha ni analys
wale wakware,
wale wakamare,
wale wanabeba wasee,
kwa stage za gari.
mbona hawa madem wananipima? me sio VCT,
na nahope mmepimwa huko VCT
haujaskia bana....hauja
haujaskia bana....hauja
tunakula life na adabuu
lala lala
life na adabuu
tunakula life na adabuu
lala lala
life na adabuu
tuna kula kula kula kula kula
vile me husema,
maisha naidema
?
hebu nikule katest
napenda mroro,
akona chest
na we chali,
akona vest
bado me husema daily,
soma ka mess
mna buy CD zangu?
buyini pia zenu
badaye swimo au badaye kwa klabu,
badaye kejani,
badaye be carefull,
na badaye,
mpunguze stigma
hataka ulikanyaga,
waya ya stima
mbona hawa madem wananipima? me sio VCT
na nahope mme pimwa huko VCT.
haujaskia bana?
hauja
haujaskia bana?
hauja
tunakula life na adabuu
lala lala
life na adabuu
tunakula life na adabuu
lala lala
life na dabuu
tuna kula kula kula kula kula
haujaskia bana?
hauja
haujaskia bana?
hauja
tunakula life na adabuu
lala lala
life na adabuu
tuna kula life na adabuu
lala lala
life na adabuu
tuna kula kula kula kula kula