Koth Biro (feat. Ayub Ogada) Lyrics
- Genre:Spoken Word
- Year of Release:2017
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Koth Biro - King Kaka
...
aaah aye aye
aye aye
aye aye
umaa buwinja
koth biro kel uru dhok e dala
Kaka: OK. ile akiupiga story za watu nko sure iupiga story zako
we unadhani Niko underdressed juu nimevaa half cot.
sai wengi wanaomba akili yangu, ingekua na sub tittles
na road to success inakuanga always under construction
so Niko in good terms na mungu na ye unipa passion
nilikua natumwa duka nikiwa mtoi naona ni far Sana.
mwenye duka alikua Ana smile, juu nilikua na stammer
kindness uonwa na kipofu na huskizwa na kiziwi.
nataka nione faar, naraukia passport gigiri
sababu Nina goals in life, but wanazishika ka origi.
Niliambiwa shoka ndogo huangusha kubwa mti, na kifo tu ndo inaeza tibu upumbavu
aah aye aye
aye aye
aye aye
aah aye aye
aye aye
aye aye.
but huwa Niko na ile bidii ya mchwa, sijui ka ndio zina nikula kichwa
na si plan kuacha ualimu soon, wengi hawatateachiwa.....ma binti wata ditchchiwa, before walikisiwa.
hakuna haja ya haraka, unless unafuata nzi
baba aliniambia, kaa chini nikufunze kipindi
jua inahepanga moon naskia hijailipa Deni.
nililearn hiyo lesson nusu, ju alikua amekalia creti, na ma hiccups "?"
zile za sun "?"
wengi hawatakuachilia wakati utasota
hata ndevu yako ikishika moto wengine wataiota
ati nisiwai steal, maganda ni peal
na more so nisitry ku re invent the will
nirudishe sufuria na kile nliomba kupikia
Nina roundi ndogo Leo watu wangu wa laikipia,
ma fans a ready to die, wananiimbia adisia sikudanganyi ready to die.
sio ati nawapandisia.
aah aye aye
aye aye
aye aye
aah aye aye
aye aye
aye aye
yeah, mum aliniambia cham chiembi, cham mchendi go ganda
namsho mum atimo thum Moro gi ayub ogada
so aliwacha kuni assume, nikech tinde adum thum
na product ya ulimi yangu inauzwa Khartoum.
ni kweli mungu alishindwa kuchora zebra, the rest ikawa punda
usi advertise shida zako, hakuna mtu atazibuy
na wale watazibuy watazieka Fb
na wataji dai
unangangana kupenda adui, rafiki humshugulikii
na wengi wa hawasanii umake sense only April 1st.
siwezi waalika kwangu hivi karibuni
na nikiwaalika, nafunga bafu ndo wasi dunge kifunguu kwa sabuni.
natoka estlando,............to be continued