Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Mbona kinyonge buda

Dah huyu manzi damu yangu

Kafanyaje tena uyo mtoto

Unajua bana

Huyu demu nilimpata ka bahati

Na ana Mambo mengi yuko mbele ya wakati

Tukapendana tukapandishana chati

Nikaambiw ng'ombe wa maskini hazai me sitaki

Mara ya kwanza juu ya stage nkiperform

Mara Nikamuona yu kwambali ananizoom

Alafu tabasamu flani kisha akanichumu

Na alivo na minofu nkaona kama tupo room

Mtoto alivoumbika yani umbo la kihaya

Jicho kungu saa zote kalegea mpaka taya

Iyo sauti ndo usipime sauti ya kwanza kwenye kwaya

Ila binadamu hakosagi mazuri na mabaya

Alinipenda kila time alinitxt

Pale nlipo muitaji kila kitu alinibless

Uyu kipa alinikuta namba tisa niko fresh

Kwenye mechi ni mikiki yani paka anaomba pause

Mwanangu wadamu alikuja nicheki geto

Akamkuta bibie kanga moja kispeciall

Nikawatambulisha mara kwa mbali kicheko

Kumbe walipotezana walidate enzi hizo

Nikasema mnaeza badilishan namba

Nikasahau ya manfongo hamna ushemeji ni kamba

Kumbe nmezingua penzi jipya nmefufua

Ni kama kuweka mbolea penzi upya nlikachipua

Baada ya wiki zikaanza fujo na mizengwe

Nikimtuma kitu mara hataki mara aende

Sababu ni ndogo ila ntanyimwa mpaka

Nikahisi kuna kitu uyu mamba kawa kenge

Leo asubuhi nmeshika simu yake

Mara gafla txt ya mwanangu kudadake

Anasema fanya chapu kila kitu nishaset

Video call za kutosha wamechat jana yake

Hapo walipo wanazan sijajua

Ila nachojua mm nachotaka kitakua

Usichojua nn yule demu wa kishua

Uko walipo sasa wanapika wanapakua


Dahbsio poa mwanangu

Kwani alikuaga anaenda wap?

Aliniaga anaenda kikazi na siku moja haitosha ataka sita

Vp ushawachana

Ndo nimeweka bando hapa niwapigie

Utanipanga basi


Yooh what's popping?

Cha kwanza tambua duniani hakuna vya free

Nilikuamini sana nkakupa jambazi

Unamkumbuka yuda aliyemsaliti masihi

Weka loud speaker aniskie na uyo she

Nimezinga kombolela mkabutua

Sina shaka nanyi wote nawajua

Msishuku kuhusu mm siwezi kujiua

Haya nayosema vp mnavifua

Kipi kimefanya uje kula napokula

Umekuja shambani kwangu tunda langu ukalichuma

Imma Saddala anavyodai mkali unapenda chura

Me skujua bana nlizani unacheki sura

Ogopa kuwa mzima hauja danja na unazikwa

Ety siku moja haitosh kwa kazi ntakaa sita

Akili hunaga za kudanga unazo tisa

Siku sita hazitoshi me nakupa miaka sita

Sijapiga simu ili uombe unachotaka

Nimepiga simu hii kukwamby me nasepa

Endelea ku enjoy nakudanga bila presha

Usijali vitu vyako utakuta kwa AnnaKimpa

Skia mama hii sio movie wala trailer

Movie limekwisha na bado hujavishwa shela

Usije kujaribu kuniomba kurudi tena

Ni kama kutema mate kutaka kumeza tena

Mechi hamjacheza na tayari mshapoteza

Point tatu nazibeba na milele nitawabeza

Refa niko freshi nakipenga napuliza

Uwanja ni wakwenu kazi yenu tu kucheza

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status