Twende Kwa Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Twende Kwa Yesu - Dan Em
...
Twende Kwa yesu Mimi nawe
njia atwonya tuijue
imo chuoni na mwenyewe
hapa asema njoo
Wana na waje watwambia
furahini mkisikia
ndiye mfalme wetu pia
na tumsihi njoo
na furaha tutaiona
mioyo ikitakata Sana,
kwake mwokozi kuonana
na milele kukaa
na furaha tutaiona
mioyo ikitakata Sana
kwake mwokozi kuonana
na milele kukaa
wangojeani Leo yupo
sikiza Sana asemapo
huruma zake zikwitapo
ewe kijana, mama, Mzee njoo
wangojeani Leo yupo
sikiza Sana asemapo
huruma zake zikwitapo
ewe kijana mama Mzee njoo
na furaha tutaiona
mioyo ikitakata Sana
kwake mwokozi kuonana
Na milele kukaa
na furaha tutaiona
mioyo ikitakata Sana
kwake mwokozi kuonana
na milele kukaa
na furaha tutaiona
mioyo ikitakata Sana
kwake mwokozi kuonana
na milele kukaa
na furaha tutaiona
mioyo ikitakata Sana
kwake mwokozi kuonana
na milele kukaa
na milele kukaa
na milele kukaa
na milele kukaa