Utaniua Acoustic Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Utaniua Acoustic - Zuchu
...
Eti lah lah lah lalalala lala lalaah!
Lah lah lalalala lala lalaah!
Nna hamu mwenzenu nna hamu kuyahadithia
Oh nna hamu tena nna hamu kuyasimulia
Utani kama utani tulianza kimasiara
Sikudhani sikudhani yatafikia mahala
Akiwa hapatikani hapaliki sijalala
Kanifanya kitu gani mbona imekua mara
Dua la kuku limenipata mwewe wallah nyinyi ni mtihani
Hata makosa ayafanye yeye mimi ndo naomba samahani
Ona anacheka kama mazurii
Anajua kabisa ameniteka kwake sina shughuli
Eti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeurii
Na kwenye koma kaweka nukta kanitia na kufuli
Wewe utaniua niua
Wewe utaniua niua
Wewe utaniua niua
Wewe utaniua niua
Tukikosa sturi ni suna kula kwenye mkeka
(Kula kwenye mkeka)
Unijue vizuri nkinuna mie ndo nadeka
(Mie ndo nadeka)
Husijedhani kiburi uniache nikaja kuchekwa
Baby raha ya shughuli mkunwa awe na hekaheka
Ooh usichokipenda wewe chunga na mimi husinifanyie
Mgomba wangu mwenyewe eti ndizi nigombanie
Nipe penzi nilewe niyumbe nizimie ooh ringa
Kwangu uko mwenyewe kiboko yangu mie ooh vimba
Ona anacheka kama mazurii
Anajua kabisa ameniteka kwake sina shughuli
Eti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeurii
Na kwenye koma kaweka nukta kanitia na kufuli
Wewe utaniua niua
Wewe utaniua niua
Wewe utaniua niua
Wewe utaniua niua
@togolamama9