Nisamehe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Nisamehe - Zuchu
...
kukuhini kusokwisha meyangukia pemamani
roho Yani dada Rika kashantoka shetani
nimeumbiwa makosa mwanadamu namimi
moyo umekunja ndita kukumisi jamanii
chorus
ngumu safari ilifanya njiani ushukieeeehe
ukakosa siti miliki gari lako mwenyeweeehe
nkajiveka masharti nikajiona mi ndo miieeee
kweli mbaya halisi na wema hakosieeehe
Nisameee......nisameee
Nisameee......nisameee
Eeeeeehhh
Chozi dimbwi dimbwi nachanganyikiwa na vilio sishikiki
Niko magharibi lizapo juu wewe upo mashariki
Zawadi vipochi vijuisi vipipi navimisi chokoleti
Nimekuonadia nilivyonyongea Uba zako sizipati
Tabibu..kunikomesha umepata toto la kitanga,sababu....umeichoka jeuri yangu ya kipemba lilegugu....limeniisha kabisa baby halinanga aibu...wananicheka wajinga rudi nakuomba.
chorus
Ngumu safari ilifanya njiani ushukieeeehe
Ukakosa siti miliki gari lako mwenyeweeehe
Nkajiveka masharti nikajiona mi ndo mieee
Kweli mbaya halisi na wema hakosieeehe
Nisameee.... nisameee
Nisameee.....nisameee
Eeeeeehhh
Nikikaa nawazaa nimuingie kwa staili gani
Nimlilie nseme na mimbaa..,kasahau tisheti nyumbani..
Nashindwa kujizuia uvumilivu unashinda kwanini
Nkimpigia kusudi zake, na akipokea,eti walahu wewe nani?iiiiiii....
Na namba kakupa nani?iiiiiii...
Mara ahhh kumbe wewe unafanya issue gani, sikuhiziiii?
Mi msanii anajua inamaana hanioni, kwenye Tviiii
Aah aiwewe...........aiwewe..........WASAFIII...