Unanimaliza
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Unanimaliza - Grey6
...
mwili umebaki kongoro nafsi yangu inasonona, yani fupa kibogoyo ndani inani chomachoma, penzi lingekuwa usafiri ningeomba niwe konda nimfikishe, ye anavonikatili moyo wangu anaponda anijibishe, basi anifungie kibada niwe mbuzi wa kibanda aniroge kwa mganga ndo nikuambie eeeeh au nkupeleke kwa mama ndo utaniamini labda na usiwe kama danga unikimbie danga ooh danga..
unanimaliza, unanimaliza, unanimaliza, unanimaliza mie niko hoi unanimaliza yani kabisa unanimaliza mie niko hoi unanimaliza, unanimalizaa
Similar Songs
Listen to Grey6 Unanimaliza MP3 song. Unanimaliza song from album Unanimaliza is released in 2022. The duration of song is 00:02:50. The song is sung by Grey6.
Related Tags: Unanimaliza, Unanimaliza song, Unanimaliza MP3 song, Unanimaliza MP3, download Unanimaliza song, Unanimaliza song, Unanimaliza Unanimaliza song, Unanimaliza song by Grey6, Unanimaliza song download, download Unanimaliza MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Peterstevenax6x
131169948
[0x1f60b][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f623]
my gee... unanimaliza takes ma love vibes to my own universe [0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]
nelson ismail
sounds good[0x1f608]
ROGER CHARLESch0cw
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
zuberi twaha
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Kenned Boniface
my gee... unanimaliza takes ma love vibes to my own universe [0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]