Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2016

Lyrics

Niangalieni Mimi - Rose Muhando

...

by Phellow Mmbuni Hallelujah hii nayo ni njema sana inapendeza pia hoo Hallelujah ni nani huyo atokaye Edomu anayepanda yeye kutoka Bosra? Yeye aliyevaa mavazi ya kifahari anayekwenda katika uweza wa nguvu zake ni nani huyo atokaye Edomu anayepanda yeye kutoka Bosra yeye aliyevaa mavazi ya kifahari anayekwenda katika uweza wa nguvu zake yeyeyeeee mwambie binti sayuni tazama kule(heee mamamamamaaaa) tazama wokovu wako sasa unakujia(tazama dhawabu) tazama dhawabu yake i pamoja nawe(mamaaa) na malipo yake yote yako mbele zake(yeye aliyefanya mambo) alifanya mambo ya kutisha(mamaa) usiyoyatazamia milima iliyumba (mwambiejeee mwambie binti sayuni(mwambie binti yule tazama kule(tazamaaa tazama wokovu wako sasa unakujia(tazama dhawabu) tazama dhawabu yake i pamoja nawe(tazama dhawabu ya bwanaaa) na malipo yake yote yako mbele zake aliyefanya mambo mambo ya kutisha usiyoyatazamia milima iliyumba mimi nalikujaaaa kwenuuuuu ninyi mpate uzimaaaa nitafuteni bure ah mimi nanena mambo ya adili mkaokolewe leteni mizigo yenu kwangu nanena mambo ya adili mkaokolewe enyi eeeeh mkaokolewe enyi eeeeh mkasamehewe eeeeh mimi ni Mungu hakuna mwingine niangalieni mimi mkaokolewe mimi wa kwanza alfa na omega niangalieni mimi mkaokolewe mimi nisemaye nisemaye kwa haki nisemaye hodari wa kuokowaa mimi nisemaye nisemaye kwa haki nisemaye hodari wa kuokowaa niangalieni mimi mkaokolewe (Bwana asema nitazameni) niangalieni mimi mkaokolewe (mimi wa kwanza tena wa mwisho) niangalieni mimi mkaokolewe (dunia nzima inajua hilo) niangalieni mimi mkaokolewe (manabii wote wanajua hilo) niangalieni mimi mkaokolewe (hata ** anajua hilo) niangalieni mimi mkaokolewe (mimi ndimi mungu niponyaye) niangalieni mimi mkaokolewe (mimi ndimi Mungu niokoaye) niangalieni mimi mkaokolewe (ndimi niliyemwokoa Rahabu) niangalieni mimi mkaokolewe (mimi niliyepasua na mwamba) niangalieni mimi mkaokolewe (mimi nilipondaponda nyoka) niangalieni mimi mkaokolewe (hata pharaoh anajua hilo) niangalieni mimi mkaokolewe (ncha zote za dunia natawala) niangalieni mimi mkaokolewe (ncha zote za dunia natawala) niangalieni mimi mkaokolewe (wanyama wa kondeni wanajua hilo) niangalieni mimi mkaokolewe (hata bahari inajua hilo) niangalieni mimi mkaokolewe (wadudu watambaao wanajua hilo) niangalieni mimi mkaokolewe (leteni magonjwa yote kwangu) niangalieni mimi mkaokolewe (leteni mizigo ya dhambi zote kwangu) niangalieni mimi mkaokolewe (mimi wa kwanza tena wa mwisho) niangalieni mimi mkaokolewe (zaidi yangu hakuna mwingine) niangalieni mimi mkaokolewe (zaidi yangu hakuna mwingine) niangalieni mimi mkaokolewe (milele yote mimi natawala) niangalieni mimi mkaokolewe (miisho ya dunia inajua hilo) niangalieni mimi mkaokolewe (dunia nzima nayo inajua hilo) niangalieni mimi mkaokolewe (haiyayayayayayayayyayyayayayayayyaaaa) ... ...piano... ... (niangalieni mimi mkaokolewe bwana anasema) niangalieni mimi mkaokolewe (halelluya) niangalieni mimi mkaokolewe niangalieni mimi mkaokolewe (nitazameni watoto wangu) niangalieni mimi mkaokolewe (matasa wote njooni kwangu) niangalieni mimi mkaokolewe (viwete wote njoni kwangu) niangalieni mimi mkaokolewe (ah! mimi ndimi Mungu niponyaye) niangalieni mimi mkaokolewe (mimi ndimi Mungu wa Yakobo) niangalieni mimi mkaokolewe (ni baba wa Ibrahimu tangia mwanzo) niangalieni mimi mkaokolewe ( ni baba wa Isaka tangu mwanzo) niangalieni mimi mkaokolewe (Falme zote za dunia watambue) niangalieni mimi mkaokolewe (wakuu wote wa dunia watambue) niangalieni mimi mkaokolewe (utukufu wangu simupi mwingine) niangalieni mimi mkaokolewe (mamalaka na enzi ni vyangu mimi) niangalieni mimi mkaokolewe (utawala wote namiliki mimi)

Similar Songs

Listen to Rose Muhando Niangalieni Mimi MP3 song. Niangalieni Mimi song from album Niangalieni Mimi is released in 2016. The duration of song is 00:06:55. The song is sung by Rose Muhando.

Related Tags: Niangalieni Mimi, Niangalieni Mimi song, Niangalieni Mimi MP3 song, Niangalieni Mimi MP3, download Niangalieni Mimi song, Niangalieni Mimi song, Niangalieni Mimi Niangalieni Mimi song, Niangalieni Mimi song by Rose Muhando, Niangalieni Mimi song download, download Niangalieni Mimi MP3 song

Comments (11)

0/500

    New Comments11

    Fridahlight

    hi guys from kenya im blessed

    France

    Phellow

    can't count how many times I played this song

    Kenya

    Innog5mk3

    so much blessings

    Saudi Arabia

    Charo Kazungutlfok

    naitwa magunda kutoka mombasa,tuna barikiwa

    Kenya

    liliankaziri56@gmail.com

    [0x2728][0x1f63b][0x26a1][0x1f608]

    Kenya

    liliankaziri56@gmail.com

    [0x1f607][0x1f628][0x1f61a][0x1f60e]

    Kenya

    liliankaziri56@gmail.com

    Gif | Boomplay Music
    Kenya

    Milton Hanachinga

    Muhando she makes me love Tanzania & this planet

    Zambia

    Phellow

    pongezi kubwa sana kwa mpiga kinanda

    Kenya

    Phellow

    ngoma imepangwa ikapangika

    Kenya

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status