Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2009

Lyrics

Maji Yana Mdudu - Munishi

...

kachimbe kisima wewe mwenyewe unywe maji yako peke yako usiyashusiyashiriki na hao wengine ni hatari kubwa eeh maji ya kisima cha watu wengi yameingiliwa na mdudu ukiwa na kiu usiyaonje utaambukizwa eeh na kiu ya maji imeongezeka watu wanayanywa kila wakati yanauzwa kote barabarani nani atapona eeh kwa sababu maji yana mdudu yanapatikana kirahisi ukipita kote utayaona wacha kuyachota eeh ukiwa na njaa ni ya chakula hhuwa ni vigumu upatiwe lakini sigara na hata pombe watakupatia eeh najua kwa nini kuna sababu pombe na sigara zinaua wanataka na wewe ufe na wao wanakupatia eeh tena siku hizi na hayo maji yalioingiwa na mdudu utapewa bure bila kuomba ili mfe wote eeh yako kwenye chupa kubwa na ndndogo watu wazipenda zile ndogo wanafikiria ziko salama wamedanganyika eeh wanazifunika ya nusu nusu wanafanya ivo makusudi ili waamshe kiu ya maji usidanganyike eeeh ndugu jihadhati na maji rahisi kachimbe kisima we mwenyewe ukiwa na kiu uyanywe maji uliyoyachimba eeh dawa ya mdudu hawajaipata wanaitafuta kote kote umwamini Yesu akuokoe amalize kiu eeeh.

Similar Songs

Listen to Munishi Maji Yana Mdudu MP3 song. Maji Yana Mdudu song from album Jirani Machozi is released in 2009. The duration of song is 00:04:01. The song is sung by Munishi.

Related Tags: Maji Yana Mdudu, Maji Yana Mdudu song, Maji Yana Mdudu MP3 song, Maji Yana Mdudu MP3, download Maji Yana Mdudu song, Maji Yana Mdudu song, Jirani Machozi Maji Yana Mdudu song, Maji Yana Mdudu song by Munishi, Maji Yana Mdudu song download, download Maji Yana Mdudu MP3 song

Comments (1)

0/500

    New Comments1

    shirima joshua

    great message im very blessed with this song

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status