Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2010

Lyrics

Nakoyembela Yo - Angela Chibalonza

...

Kombolayo Adonai Kombolayo Elohim Kombolayo El-Shaddai Zambela Muya Likolopela Sele(repeat) Litondi Nguna Nayo Litondi Kembo Nayo Nakoyembela Yo(repeat) Nakokumisa Yo(repeat) Nakosajola Yo(repeat) Ewe na Kuletolayo (repeat) Maneno Mungu anafanyanga Yanapita ufahamu kwangu eeh Maneno Mungu anafanyanga Yanapita kuelewa wangu eeh Lakini mimi najua anapendaga Watu wamsifu eeh Mi najua anapendaga Watu wamchezee Wakati huwa tunafurahi Yesu pia anafurahi Wakati tunaabudu eeh Bwana wetu anafurahi eeh Mbelelela (repeat) Kombola Yesu Mbelela aah(repeat) Kombola Yesu Hemboke eeh(repeat) Kombola Yesu Adon eeh (repeat) Kombola Yesu Helembe eeh(repeat) Kombola Yesu Nitola aah(repeat) Kombola Yesu Jina (repeat) Jina la Yesu Jina (repeat) Jina la Yesu Jina lenye mamlaka Jina la Yesu Jina lenye nguvu nyingi Jina la Yesu Kwa jina la Yesu mapepo yaondoka Jina la Yesu Kwa jina la Yesu magonjwa yanapona Jina la Yesu Kwa jina la Yesu viwete watembea Jina la Yesu Jina linainua maskini eeh Jina la Yesu Jina lenye nguvu na mamlaka Jina la Yesu Nasema jina jina Jina la Yesu Ooh jina jina Jina la Yesu Jina latajirisha Jina la Yesu Jina linainua Jina la Yesu Kwa jina lake tunaimba Jina la Yesu Kwa jina la Yesu tunaabudu Jina la Yesu Ooh jina jina Jina la Yesu (Halleluya eeh Jina la Yesu livume pote duniani Ulaya Afrika Europa Asia jina la Yesu livume Halleluya) Nitalinua jina lako eeh Eeh Nitalibariki jina lako eeh Eeh Nitalitukuza jina lako eeh Eeh Kulia kushoto Jina la Yesu Kwenda juu chini Jina la Yesu livume (Inua masiya) (Mikono juu kwa Yesu) (Cheza kwa ajili ya Yesu jamani umepewa nafasi na muda mzuri wa kucheza kwa ajili ya Yesu) Hata mnisengenye sitaacha kumsifu eeh(repeat) Jina la Yesu ni lina nguvu na mamlaka

Similar Songs

Listen to Angela Chibalonza Nakoyembela Yo MP3 song. Nakoyembela Yo song from album Nimekutana Na Yesu is released in 2010. The duration of song is 00:06:16. The song is sung by Angela Chibalonza.

Related Tags: Nakoyembela Yo, Nakoyembela Yo song, Nakoyembela Yo MP3 song, Nakoyembela Yo MP3, download Nakoyembela Yo song, Nakoyembela Yo song, Nimekutana Na Yesu Nakoyembela Yo song, Nakoyembela Yo song by Angela Chibalonza, Nakoyembela Yo song download, download Nakoyembela Yo MP3 song

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this song?

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status