Kuta Za Uhasama
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Kuta Za Uhasama - Fountain Ministers Singers
...
ninalo jambo moja, linalo nikera moyoni sana, wayahudi ma wayunani
tulisawazishwa na kristo, tukaunganishwa kwa imani
mila na tamaduni zetu zinatutenga na mwokozi , wala mboga za majani tuu, simdharau wakula vyote, kwa maana Mungu asema ameshamkubali hivyo, leo vyakula kesho mavazi
ata mziki bora na duni, yamejenga chuki na lawama kati yetu
kuta za uhasama msijenge kati yenu mlokwisha Amini
mtawahubiria je iwapo hampikiki katika chungu kimoja
kuta za uhasama msijenge kati yenu na wasio Amini
mtawahubiria je iwapo hampikiki katika chungu kimoja
see lyrics >>
Similar Songs
More from Fountain Ministers Singers
Listen to Fountain Ministers Singers Kuta Za Uhasama MP3 song. Kuta Za Uhasama song from album Sauli Wa Tarso is released in 2022. The duration of song is 00:05:13. The song is sung by Fountain Ministers Singers.
Related Tags: Kuta Za Uhasama, Kuta Za Uhasama song, Kuta Za Uhasama MP3 song, Kuta Za Uhasama MP3, download Kuta Za Uhasama song, Kuta Za Uhasama song, Sauli Wa Tarso Kuta Za Uhasama song, Kuta Za Uhasama song by Fountain Ministers Singers, Kuta Za Uhasama song download, download Kuta Za Uhasama MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Nyatichi Arriet
kelvin kipkosgei hcyjw
kabisa hujumbe mzuri
Mkama TheGiant
ka wimbo katamu haka...
Ninalo jambo moja, linalonikera moyoni sana, Wayahudi na Wayundani. Tulisawazishwa na Kristo tukaunganishwa kwa imani. Mila tamaduni zetu zinatutenga na Mwokozi, wala mboga za majani tu, simdharau wa kula vyote kwa maana Mungu asema ameshamkubali hivyo. Leo vyakula kesho mavazi hata muziki bora na duni, yamejenga chuki na lawama kati yetu. A good song with a powerful message. Good work here