Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2022

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Chuki - Balaa Mc

...

We muushizoo utawauwaa 26 kipaajiii Hakuna shujaa pasipo na maaduii Minishujaa nasakwa na maaduii Hii vita ni nugumu napigana na watu Ambao hauwaonii wala hauwajui Mi ni mti wenye matunda Ndio maana sichoki Kila siku wananipiga mawe Niko imara sianguki niko na yumba yumba tu Matunda Yakianguka kesho yataota mengine Kama ipo ipo kanipa Mungu uu Kazi bure huwezi ziba riziki yangu Eti unanichukia kisa kipaji changuu Kazana kuniloga tu mi namuomba Mungu We kunguru mi mwewe sa utaweza wapi Shindana na mimi weweeee Unakazana kutenegeza mazingira Mi nishuke kimziki ili upande weweeee Ohh binadamu ata ukishi nao vizuri Watatafuta sababu tuu Ohh binadamu ata ukiwafanyia mema Lakini Bado utasemwa tuu Kweli Napambana usiku na mchanaa Silali natafuta ili nile na ndugu zanguu Najua kama na baba mama familiaa yanguu Inanitegemea nalijuaa jukumu languu Nashangaa wananichukia sijui kwanini ohh Wananisema sijui nimefanya nini mi Kwani kosa langu nini kwa nini mimi ohh Mdomoni mwao kutwa jina langu mimi Maneno ya uongo wanaongeaaa Uhakika hawana alafu wanajiaminii Figisu figisu wananifanyiaa Huruma hawana nia yao kunishusha mimi Mi najikongoja tu kidume mimii Waache waniloge najua mungu yuko namii Ila hakuna kama 26 kipajii Wanasubiri wavune wakati mi ndio mlimajii Napenda sana ushauri sijifanyi mjuajii Leo God ka bless namiliki bajajii Haya sasa woote tusemee suuu Suuzikeni na roho zenu balaa sina makuu Hata mkinuna hiyo shauri yenu tuu Mniloge mnipige ndumba tu yoote mipango ya mungu Nashangaa wananichukia sijui kwanini ohh Wananisema sijui nimefanya nini mi Kwani kosa langu nini kwa nini mimi ohh Mdomoni mwao kutwa jina langu mimi Maneno ya uongo wanaongeaaa Uhakika hawana alafu wanajiaminii Figisu figisu wananifanyiaa Huruma hawana nia yao kunishusha mimi Mi najikongoja tu kidume mimii Waache waniloge najua mungu yuko namii Jmani mushizoo ahaa utawauwaa Lyrics by Chamazi Music

Listen to Balaa Mc Chuki MP3 song. Chuki song from album 26kipaji Singeli Album is released in 2022. The duration of song is 00:03:32. The song is sung by Balaa Mc.

Related Tags: Chuki, Chuki song, Chuki MP3 song, Chuki MP3, download Chuki song, Chuki song, 26kipaji Singeli Album Chuki song, Chuki song by Balaa Mc, Chuki song download, download Chuki MP3 song

Comments (25)

0/500

    New Comments25

    Mamu Daudi

    good song inafundisha mungu akujaalie balaa mc

    Tanzania

    seanayodblly

    Kaka ahsante kuisemea mitaa

    Tanzania

    Robert 5wjj6

    If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347036681271

    Nigeria

    153548847

    Daahh we ni noma 26 kipaj

    Tanzania

    William Mouse

    26 kipaji weeekkkaaa aappoooo

    Tanzania

    Irene mathias wzhj3

    @Irene mathias

    Tanzania

    Irene mathias wzhj3

    Nice [0x1f628]

    Tanzania

    pelaji raphael

    [0x1f630][0x1f621]

    Tanzania

    Alexg1o73

    [0x1f627]

    Tanzania

    Focxy wizzy

    Kwel hii balaa

    Tanzania

    Ramadan rfvnj

    26 kipaji eeeeeh

    Tanzania

    kileop0vl5

    up vzr balaa

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status