Siweziamini
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Siweziamini - White Doves Ministry
...
SIWEZI AMINI Stanza 11. Siwezi amini amefufuka toka kaburini na sasa yuko Yerusalemi , ni jambo la kushangaza sana (lazima nione alama ndipo nitaamini amefufuka) ×2 CHORUS: Mwanakondoo ndiye kafara ya mwisho kwa ulimwenguni kwa kifo chake sisi twahesabiwa haki atukuzwe×2 Stanza 2. [SOLO] Nina ujumbe kwa ulimwengu, Bwana alifufuka yu hai tena, [All] Ewe Tomaso imarisha imani, imani yako, na uamini kwamba Mwokozi ndiye mkombozi.
Similar Songs
More from White Doves Ministry
Listen to White Doves Ministry Siweziamini MP3 song. Siweziamini song from album Pendo La Yesu is released in 2022. The duration of song is 00:04:11. The song is sung by White Doves Ministry.
Related Tags: Siweziamini, Siweziamini song, Siweziamini MP3 song, Siweziamini MP3, download Siweziamini song, Siweziamini song, Pendo La Yesu Siweziamini song, Siweziamini song by White Doves Ministry, Siweziamini song download, download Siweziamini MP3 song