Nishazama
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Gogo J Kaskey, Waongozi of Music
We mtoto, kila siku nakuota kwenye ndoto, ndio maana usijali ipo siku tuzaa watoto, Eh
Maana tulizaliwa nasi, inapasa nasi tuzae mamy,
Tambuwa kufa ama kuishi yote nimapenzi yake mola,
Aina maana kupana lawama, anajuwa kesho ni maulana. Wasikushawishi kusema eti nakukana,
mapenzi yetu aikuanza jana, tika na yebisa bango, ba jaloux nayo, nakokufa pamba te, nakokufa pona yo !
Nisha zama mama nisha zama (nisha zama), ndani ya penzi nisha zama (nisha zama) nisha zama zama mama nisha zama (nisha zama) you make me crazy. (x2)
Mungu alikupa kila kitu fresh, ukipita unaacha harufu ya malashi, asa ukivaa iyo kipande, ukipima kucheza nasimama dede, unamwendo kama umechora sita, una ngozi nyororo kama umeogaga mafuta, watu wengi wanasita kukuita, unawaka una bling bling kama taa, usiwe mfupi kwa godoro, please mamy njoo tuu dors, ikibidi mpaka tomorrow, tutakula tutakunywa, tuta tingisha, sauti kama unaniita, wewe ndio wangu mama séniorita, ukini touch mwenziyo na regeya, penzi lako na lizimiya.
see lyrics >>
Similar Songs
Listen to Gogo-J Kaskey Nishazama MP3 song. Nishazama song from album Nishazama is released in 2022. The duration of song is 00:02:43. The song is sung by Gogo-J Kaskey.
Related Tags: Nishazama, Nishazama song, Nishazama MP3 song, Nishazama MP3, download Nishazama song, Nishazama song, Nishazama Nishazama song, Nishazama song by Gogo-J Kaskey, Nishazama song download, download Nishazama MP3 song