Kanaani
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Kanaani - Baraka Kings
...
safari wana wa Israel safari wana wa Israel kutoka misri kutoka kwa farao kutoka utumwani kwenda kanani kutoka misri kutoka kwa farao kutoka utumwani kwenda kanaani nchi ya amani inchi ya maziwa inchi ya mitende iliyo barikiwa nchi ya amani nchi ya maziwa nchi ya mitende iliyo barikiwa nionyeshe njia nionyeshe njia nionyeshe njia nifike salama nionyeshe njia nionyeshe njia nionyeshe njia nifike salama wana wa Israel walimlilia Musa safari ya Kanaani iliwafanya wakajuta wakasau mateso wakasahau majuto wakasau kipigo cha nchi ya farao wakasahau mateso wakasahau majuto wakasahau kipigo cha nchi ya farao shida na visa visikutenge na Mungu hayo nimajaribu Ayubu alipitia mtwishe Yesu yanayo kusumbua yeye ni njia haha ya kweli na uzima shida na visa visikutenge na Mungu hayo ni majaribu Ayubu alipitia mtwishe Yesu yanayo kusumbua yeye ni njia haha ya kweli na uzima nionyeshe njia nionyeshe njia nionyeshe njia nifike salama nionyeshe njia nionyeshe njia nionyeshe njia nifike salama
Similar Songs
More from Baraka Kings
Listen to Baraka Kings Kanaani MP3 song. Kanaani song from album Kanaani is released in 2019. The duration of song is 00:04:27. The song is sung by Baraka Kings.
Related Tags: Kanaani, Kanaani song, Kanaani MP3 song, Kanaani MP3, download Kanaani song, Kanaani song, Kanaani Kanaani song, Kanaani song by Baraka Kings, Kanaani song download, download Kanaani MP3 song