Bwana Mungu Nashangaa
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Bwana Mungu Nashangaa - Beatrice Mwaipaja
...
1.bwana mungu nashangaa kabisa nkitazama kama vilivyo nyota ngurumo vitu vingi vyote viumbwaavyo kwa uwezo wako.
roho yangu na ikuimbie jinsi wewe ulivyo mkuu×2
2. Nkitembea Kote duniani ,ndege huimba
nawasikia ,milima hupendeza macho sana,upepo nao nafurahia.
roho yangu naikuimbie jinsi ww ulivyo mkuu...
00
4. nkikumbuka kama wewe mungu ulivyo mpleleka mwanao afe azichukue dhambi zetu kuyatambua n vigumu mno.
roho yangu naikuimbie jinsi ww ulivyo mkuuu..
see lyrics >>Similar Songs
More from Beatrice Mwaipaja
Listen to Beatrice Mwaipaja Bwana Mungu Nashangaa MP3 song. Bwana Mungu Nashangaa song from album Tenzi za Rohoni is released in 2022. The duration of song is 00:05:49. The song is sung by Beatrice Mwaipaja.
Related Tags: Bwana Mungu Nashangaa, Bwana Mungu Nashangaa song, Bwana Mungu Nashangaa MP3 song, Bwana Mungu Nashangaa MP3, download Bwana Mungu Nashangaa song, Bwana Mungu Nashangaa song, Tenzi za Rohoni Bwana Mungu Nashangaa song, Bwana Mungu Nashangaa song by Beatrice Mwaipaja, Bwana Mungu Nashangaa song download, download Bwana Mungu Nashangaa MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
Amos kinyua0gmfo
imanyara kathure
......
Aletius Clemence
ongera sana
Jasphet Raulent
ubarikiwe na bwana dada angu
Tasiana Tasiana
nyimbo nzuriii sanaaa
138687599
nyimbo nzur
Benard Mutindahoxab
uliona mbali sister
137933002
kakupenda sana
IKELESO
Nyimbo kali sana
more grace sister