Napenda Kitabu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Napenda Kitabu - Max Kogai Jnr
...
Napenda kitabu chake,kilichotoka mbinguni,
Barua kwangu ya Bwana,ujumbe wake wa upendo.
Umo ndani ya kitabu,sura ya Yesu naona,
karatasi zimekuwa, wayo zake za Mwongozi.
Neno lake ni maonji, kubwe la asali tamu,
Natamani kuuonja,ule mkate wa uzima,
Mapenzi yake Muumbaji, yanafunuliwa humo,
see lyrics >>Similar Songs
More from Max Kogai Jnr
Listen to Max Kogai Jnr Napenda Kitabu MP3 song. Napenda Kitabu song from album Nyimbo Za Kristo is released in 2020. The duration of song is 00:03:17. The song is sung by Max Kogai Jnr.
Related Tags: Napenda Kitabu, Napenda Kitabu song, Napenda Kitabu MP3 song, Napenda Kitabu MP3, download Napenda Kitabu song, Napenda Kitabu song, Nyimbo Za Kristo Napenda Kitabu song, Napenda Kitabu song by Max Kogai Jnr, Napenda Kitabu song download, download Napenda Kitabu MP3 song