Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2020

Lyrics

Baada Ya Uchaguzi - Bando MC

...

KC recoerd

Shey town boy.

Wajumbe tupo ka kamati Tulijua fikla atapita naniiiiii ila hatukufikia tamati shamba kumpatia mpinzaniiiih

Kutafuta haki mbele ya watu ni kutafu msikiti ambaoo waumini wanaswali wamevaa viatu. Haya kalibu tena tumekupa fimbo iliuchape kazi hali so njema imekua wimbo kwa kila mkazi,, na rushwa bado ni shaziii hii nchiii ukiona trafic mwembamba ujuee ni mgeni kwenye kazi tutegemee misemo ya nyumbani ni nyumban warohama chama wakikosa watahama tena upinzani wakirejea mwenye kiti hatawakaribisha tuuu na malipo ya mwana mpotevu ni kuzalilishwa tyuuu hasa chuii mmemkabizi vip ndioo hale kondoo wa bwana maana zilivuja siri amekula kondoo wa bwana, haina maana kwenye marefu kueka mapana. Je mmesahau kwamba tunajenga taifa na sio chama aliacha nyama bwana fisii kwa tamaa za mfupa alikosa vyote maana alitaka vyote kwa pupa. Unafki naule ulafi wa madalaka ndo ulimponza ila baba uwe deleva umepita usimsahau konda

Haya kalibu tena umeenda umebuni me sichoki kukukalibisha au ntachelewaaa usipagawe na usichoke kujalibiwa

( Baada ya uchaguzii*2)

Aaaaha. Kuna maisha baada uchaguzi ilo naomba ulitambuee,,,,,, maisha baada ya hongo walokupa ili huwachaguee Ukinyanyua kinywaa wana kuziba mdomo afuu wana sema. wanakufundisha kukaa kimya...... wengi wana humwaaa vijijini hakuna daktarii ila umejenga lami wapite wachahe wenye magarii. Daaah na haminije ka ntapona maaa na muuza santaize naye alikufa kwa Corona,,,,, Na wasaniii sijui wamekumbuka kuweka albamu maana unavuna miezi miwili miaka mi tano hunashida wapo walopata serfiiii wengine wamepata kodiiii nawatalaamu wa hizi kaziii ndo wanamiliki magojiiii,,,, Baba anamsomesha mwana lengo hajiiliwe hamsaidiee tena kwa nguvu ya vikoba na mtaji wa mama ntiliee ,,,,,,, kijana hajila hakuna yupo mtaani kula ngada na washkajiii mnamwambiajee ajiajili ingawa hamjampa shavuuu Nashabikiajee mpila wa nyumbani ikiwa nfumo haupo mwakeee kiongoziii wa TFF naye pia ana team yake Soka letu mimba changa aliye kua anafanya usajili simbaa ety naye amesajiliwa yangaaah.

Haya kalibu tenaaa umeenda umebuni sichoki kukukalibisha au hauja chelewa usipagaweee na usichokeee kujalibiwaaa

(Baaaada ya uchagiza*2)

Mungu tukumbatieee wanao tusitilikeee tufikilieee kwavichwa vyaooo ttufikiliwee wanauza utu kwa mali watajilike pesa mwana halamu funika kombeee basi lipiteee

see lyrics >>

Listen to Bando MC Baada Ya Uchaguzi MP3 song. Baada Ya Uchaguzi song from album Baada Ya Uchaguzi is released in 2020. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Bando MC.

Related Tags: Baada Ya Uchaguzi, Baada Ya Uchaguzi song, Baada Ya Uchaguzi MP3 song, Baada Ya Uchaguzi MP3, download Baada Ya Uchaguzi song, Baada Ya Uchaguzi song, Baada Ya Uchaguzi Baada Ya Uchaguzi song, Baada Ya Uchaguzi song by Bando MC, Baada Ya Uchaguzi song download, download Baada Ya Uchaguzi MP3 song

Comments (3)

0/500

    New Comments3

    Sheby lovelq2ox

    unajua

    Tanzania

    Yeffe bnd

    Nakubal

    Tanzania

    Boysondntz5

    Genius

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status