- Genre:Singeli
- Year of Release:2024
Lyrics
Wivu - Balaa Mc
...
dj kila mtu mbaya oooh acha niitwe fara mjinga kwako nishaa jifia sijiwezi huba limekolea mahaba ninayo pata kwako walahi sijawah patiwa me siwezi bila wewe bila singe kimbia ooh nitapeleka barua kwenu na wazazi wako watanijua nikutolee mahali ili tufunge ndoa aah eee tafadhali nitunzie heshima yangu wananiamini sana wazazi wangu usije ukanialibia maisha yangu ukaichafua na kuishusha heshima yangu uu mwenzako me nawivu ujue bby me nawivu uu unajua me na wizu ujue kwako me nawivu sana
Similar Songs
More from Balaa Mc
Listen to Balaa Mc Wivu MP3 song. Wivu song from album Wivu is released in 2024. The duration of song is 00:04:01. The song is sung by Balaa Mc.
Related Tags: Wivu, Wivu song, Wivu MP3 song, Wivu MP3, download Wivu song, Wivu song, Wivu Wivu song, Wivu song by Balaa Mc, Wivu song download, download Wivu MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
171298343
171298343
Dominick
103378925
. l . j p .pj lj .l
nakubali sana balaa juu ya balaa umetisha sana
Ismail Amirb3cd7
yamoto
Kayombo Mc
Uyu ndo balaa tunae mjuaaa sasa je hit si ili hapo
Kayombo Mc
unyama
cm7390295@gmail.com
moto juu ya moto hujawah kosea
young gz04l7
nakubali sana balaa juu ya balaa umetisha sana
F .W
yamoto sana hii
Dominick augustino