- Genre:Alternative
- Year of Release:2024
Lyrics
Wakati mwingine ni bahati tu
Upendo unapochipuka kwenye moyo
Uwepo wako unajazwa na neema isiyo na kifani
Utachukua muda mwingi
Ukijaribu kufafanua yote yanayokutendekea
Na yote unayohisi
Upendo upo tu
Upo katika mziki
Upo kwenye miti
Upo kwenye upepo tunapo barizi
Upendo upo wakati tunazaliwa hadi siku yetu ya Kufariki
see lyrics >>Similar Songs
More from mrnayed
Listen to mrnayed upendo MP3 song. upendo song from album clrdsncs vol i is released in 2024. The duration of song is 00:02:27. The song is sung by mrnayed.
Related Tags: upendo, upendo song, upendo MP3 song, upendo MP3, download upendo song, upendo song, clrdsncs vol i upendo song, upendo song by mrnayed, upendo song download, download upendo MP3 song