Mimi Sio Sharobalo
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Mimi Sio Sharobalo - Momba
...
Mwonekano wako we ni zaidi ya Nanci ingawa ujashiriki umiss, Upo juu kajaro hama Beance kila moja anakugasi, Upo tofauti na wengi lowaona we ni zaidi ya ma beaut, mi nabaki moyo wangu unaniuma machoni nikuface.
Kusema nataka sema ila nashindwa kwa jinsi ulivyo juu na unavyowindwa nahisi wenye mali watanitenda moyo nabaki ona x2
Ningekuwa kama Bob Junior ningekuimbia oyo oyo oyo,, ila mm kama Dullayo naumia roho aro aro aro. x2
Ila mm sio sharobarooo ndo maana unaniumiza kwa vile mm sina mng'aro unaniacha kwenye giza. x2
mmh,,, eee ooha,,, mmh,,,
Upo tofauti na wengi lowaona ki ukweli uko fiti unasifiki kwa mtaa na kila kona jinsi ulivyo madhubuti, we wamodo uji sinika fensi ninajihisi ninajiforce kwa jinsi ulivyo sexy than nao nafasi wenye namba watanidisi.
Kusema nataka sema ila nashindwa kwa jinsi ulivyo juu na unavyowindwa nahisi wenye mali watanitenda moyo nabaki ona x2
Ningekuwa kama Bob Junior ningekuimbia oyo oyo oyo,, ila mm kama Dullayo naumia roho aro aro aro. x2
Ila mm sio sharobarooo ndo maana unaniumiza kwa vile mm sina mng'aro unaniacha kwenye giza. x2
wewe unaniacha kwenye giza mama,,, mm sio sharobaroo ndo maana unaniliza mama ei eie oa mama ea ee momba ee Akinaka rekodis Rk ooh show me
Similar Songs
More from Momba
Listen to Momba Mimi Sio Sharobalo MP3 song. Mimi Sio Sharobalo song from album Mimi Sio Sharobalo is released in 2017. The duration of song is 00:04:11. The song is sung by Momba.
Related Tags: Mimi Sio Sharobalo, Mimi Sio Sharobalo song, Mimi Sio Sharobalo MP3 song, Mimi Sio Sharobalo MP3, download Mimi Sio Sharobalo song, Mimi Sio Sharobalo song, Mimi Sio Sharobalo Mimi Sio Sharobalo song, Mimi Sio Sharobalo song by Momba, Mimi Sio Sharobalo song download, download Mimi Sio Sharobalo MP3 song