Nina Amani
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
NINA AMANI
Nina amani na furahaaa Yesu akiwa ndani yanguuu
Tuna amani na furaha tukiwa ndani ya Yesu
Yesu alitufia juu ya musalaba, Yesu alichukuwa nzaambi zetu zote.
Sasa leo tumeitwa wana ni kwa neema. Sasa leo tumeitwa wana ni kwa neema ya Mungu tu
Ndani ya Yesu muna amani ndani ya Yesu muna furaha. Ndani ya Yesu muna kicheko pia uzima wa milele
Tunapotazama mateso yote uliyo yapata na shabaa ilikuwa moja tu, sisi tuitwe wana wa Munguuu,tuitwe wana wa aliye juu, warizi pamoja naye Yesu.
Twakusifu Yesu, twakushuru Baba, twakuimbia leo Baba uuinuliwe, twakusifu Yesu, twakushuru Baba, twakuimbiya leo, baba uinuliwe.
Eee Yesu asante kwa ukombozi eee Yesu tunashuku
Kwa kazi ya musalaba ulitufiliya Eee Bwana ,tunashukuru.
see lyrics >>
Similar Songs
More from Bora Rutakaza
Listen to Bora Rutakaza Nina Amani MP3 song. Nina Amani song from album Nina Amani is released in 2023. The duration of song is 00:06:13. The song is sung by Bora Rutakaza.
Related Tags: Nina Amani, Nina Amani song, Nina Amani MP3 song, Nina Amani MP3, download Nina Amani song, Nina Amani song, Nina Amani Nina Amani song, Nina Amani song by Bora Rutakaza, Nina Amani song download, download Nina Amani MP3 song