- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Wanafunzi wake yesu ndani ya chombo cha baharini,
Walipo songwa na mawimbi,walimlilia yesu,
Je mwalimu si kitu kwako kwamba sisi twaangamia,
Ndipo yesu alipo zikemea pepo,pepo zikatulia.
Liite jina la yesu majaribu yanapo kusonga,
Wapo wengi walo liita,wakapata rehema,
Katika shida na raha, wewe ita jina lake yesu,
Mizigo yako atabeba nawe utakuwa huru.
Batimayo wa timayo,yule kipofu na omba omba,
Alipo sikia habari,za kupita kwake yesu,
see lyrics >>Similar Songs
More from Roysambu Young Adults Choir
Listen to Roysambu Young Adults Choir Liite Jina MP3 song. Liite Jina song from album Nitakwenda ft Kuwa na Yesu is released in 2023. The duration of song is 00:05:17. The song is sung by Roysambu Young Adults Choir.
Related Tags: Liite Jina, Liite Jina song, Liite Jina MP3 song, Liite Jina MP3, download Liite Jina song, Liite Jina song, Nitakwenda ft Kuwa na Yesu Liite Jina song, Liite Jina song by Roysambu Young Adults Choir, Liite Jina song download, download Liite Jina MP3 song