- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Tanzania - Heaven Life Singers Kasulu
...
twashukru mungu kwa kutupatia nchi nzuri sana tanzania nchi ya amani watu wakalimu na wageni twawafadhiri ×2
atukuzwe mungu muumba wetu katupatia nchi nzuri sana watanzani tudumishe upendo ili amani idumu kwetu...×2
ona tanzania ina mali nyingi vivutio vyake vyapendeza milima' mabonde mbungu za wanyama tanzania inapendeza!×2
atukuzwe mungu muumba wetu katupatia nchi nzuri sana watanzania tudumishe upendo ili amani idumu kwetuu..×2
ehee mungu bariki tanzania yetu pia viongozi wabariki hekima umoja upendo amani viwe ngao yetu tanzania.×2
atukuzwe mungu muumba wetu katupatia nchi nzuri sana watanzania tudumishe upendo ili amani idumu kwetuu×4
Similar Songs
More from Heaven Life Singers Kasulu
Listen to Heaven Life Singers Kasulu Tanzania MP3 song. Tanzania song from album Rudi Nyumbani is released in 2015. The duration of song is 00:04:41. The song is sung by Heaven Life Singers Kasulu.
Related Tags: Tanzania, Tanzania song, Tanzania MP3 song, Tanzania MP3, download Tanzania song, Tanzania song, Rudi Nyumbani Tanzania song, Tanzania song by Heaven Life Singers Kasulu, Tanzania song download, download Tanzania MP3 song