- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Sina - Into Tz
...
ulipigasimu nikawa sishiki,sunajua mikiki mikiki
nakutafutia liziki,mi kupumzika pakamwisho wa wiki,
kunawakati hunielewi ,usinilaumu
hujui napitia mangapi usinihukumu.
yaani hujaniuliza unalalama,unanunua unatukana.
Yaani makelele unavyofanya unaniumizaga kamoyo
mapenzi pekeeke hayatoshi,achanitafute my baby.
shida tabia.sio ngozi haitoki hata kwavipodozi.
hela ya vochautanivumilia.nikisemasina nikisemasina.nikisemasina nikisema Sina hera ya kucha utanivumilia .nikisemasinanikisemasina.
kunawakati ninahisi Ni utoto unakusumbua
see lyrics >>Similar Songs
More from Into Tz
Listen to Into Tz Sina MP3 song. Sina song from album Sina is released in 2023. The duration of song is 00:02:57. The song is sung by Into Tz.
Related Tags: Sina, Sina song, Sina MP3 song, Sina MP3, download Sina song, Sina song, Sina Sina song, Sina song by Into Tz, Sina song download, download Sina MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Gizzo8r6c8
alfa nyanjetr5cb
iko poa
alfa nyanjetr5cb
[0x1f608][0x1f608][0x1f608][0x1f612].. Young blaster.(dar es salam)
Tisha sanaaaaaaa