Jina Maria
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Jina Maria - Catholic Church Songs
...
jina Maria ni jina tukufu, lafurahisha linatutuliza , Malaika mbinguni wanaiiimba usiku na mchana wanaimba wakisema AVE AVE Maria, nii jina tukufu jina la Maria ,wakisema AVE AVE Maria, nii jina tukufu jina la Maria .Maria mama wa Mungu tuombee tuombee Kwa mwanao yesu kristu tuombee Kwa mwanao yesu kristu .Jina Maria ni jina tukufu lafurahisha linatutuliza Malaika mbinguni wanaiiimba usiku na mchana wanaiiimba wakisema AVE AVE Maria ,ni jina tukufu jina la Maria wakisema AVE AVE ,Maria ni jina tukufu jina la Maria .Jina lako siku zote lapendeza wewe uliye mnao wa daudi wewe uliye mnao wa daudi jina Maria ni jina tukufu lafurahisha linatutuliza Malaika mbinguni wanaiiimba usiku na mchana wanaiiimba wakisema AVE AVE Maria , ni jina tukufu jina la Maria, wakisema AVE AVE Maria, ni jina tukufu jina la Maria jina lako siku zote lapendeza wewe uliye malkia w mbinguni wewe uliye malkia wa mbinguni . Jina Maria ni jina tukufu lafurahisha linatutuliza Malaika mbinguni wanaiiimba usiku na mchana wanaiiimba wakisema AVE AVE Maria ,ni jina tukufu jina la Maria wakisema AVE AVE Maria,.ni jina tukufu jina la Maria . Twaliimba Jina lako siku zote jina Maria linatufurahisha jina Maria linatufurahisha.Jina Maria ni jina tukufu lafurahisha linatutuliza Malaika mbinguni wanaiiimba usiku na mchana wanaiiimba wakisema AVE AVE Maria ,ni jina tukufu jina la Maria wakisema AVE AVE Maria, ni jina tukufu jina la Maria wakisema AVE AVE Maria ni jina tukufu jina la Maria .
Similar Songs
More from Catholic Church Songs
Listen to Catholic Church Songs Jina Maria MP3 song. Jina Maria song from album Jina Maria is released in 2023. The duration of song is 00:06:08. The song is sung by Catholic Church Songs.
Related Tags: Jina Maria, Jina Maria song, Jina Maria MP3 song, Jina Maria MP3, download Jina Maria song, Jina Maria song, Jina Maria Jina Maria song, Jina Maria song by Catholic Church Songs, Jina Maria song download, download Jina Maria MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
lineth0dck
mpalu
[0x1f636][0x1f636][0x1f636]
mpalu
wow
STE*BOY
fantastic
kenya